Category: Academic

September 11, 2022

Chama Cha Kiswahili

Chama cha Kiswahili cha Kiseryan ni chama kinachohusu lugha ya Kiswahili. Kilianzishwa mwaka wa 2015 na kinaendelea kunawiri kila kuchao kwa kile kinachofanywa na wanachama wa chama hicho.Chama cha Kiswahili kinahusu uzungumzaji wa lugha yetu tukufu ya Kiswahili miongoni mwa wanachama wetu iliwaweze kukikuza na…
Read More