ATHARI ZA MTANDAO KWA VIJANA | Kiseryan Girls Senior Academy
Blog Item

ATHARI ZA MTANDAO KWA VIJANA

Image

by Ashly Jechumba 1 year ago 35 comments

Mtandao ni mfumo wa  mawasiliano ya kielektroniki unaopitia katika compyuta na kusambazwa kote ulimwenguni. Hutumiwa kutafiti taarifa, kuwasiliana au kupeana taarifa. Mtandao wa jamii nao ni mtandao unaohusu kila mtu  katika jamii kwa ujumla. Mifano ya mitandao hii ni kama “twitter”,”Facebook”,”Google,”na “Instagram”.Watu wanaodhirika zaidi ni vijana.

Katika karne hii ya ishirini na moja,mtandao umechukua nafasi kubwa katika utafiti wa masomo hasa vyuo vikuu.’Google’ kwa mfano,hutumika katika utafiti wa kozi mbalimbali za kielimu. Wanafunzi wanapokwenda likizoni, wao huweza kusoma kupitia mtandao. Katika nchi yetu  ya Kenya,masomo ya ziada yaani  ‘ tuition’ hayakubaliwi kutokana na sheria zilizotolewa na waziri mkuu wa elimu, Fred Matiang’i. Hivyo basi,mfumo huu unaweza kuwasaidia wanafunzi kutosahau waliyoyasoma shuleni.

Mfumo huu hurahisisha kazi ya walimu. Walimu katika nyanja mbali mbali hurekodi video maalum za masomo yanayohusisha picha na kuziweka kwenye tuvuti mbalimbali. Mafunzo haya huenea kwa haraka na kufikia watu wengi kwa muda mfupi.Masomo kama vile jografia  na vitabu vya kuigizwa hufasiriwa vyema na wasomi kupitia kanda za video. Kando na hayo, wanafunzi huweza kutenga wakati mwafaka  ili waweze kupata fursa ya kusoma katika mazingira yaliyo tulivu bila kusumbuliwa na mtu au kitu chochote.

Biashara inayohusisha nyimbo na vipindi vya kielimu huuzwa kupitia mtandao. Wazazi huweza kuwasaidia watoto wao kwa kuwanunulia kanda zifaazo zenye vipindi hivi vya kielimu, kwani havihusu elimu ya vitabu pekee yake bali elimu ya maisha pia .Elimu hii humwezesha mwanafunzi kukabiliana na changamoto mbalimbali maishani kwa mfano, kukabiliana na shinikizo baina ya mahirimu {peer pressure}.

Maswala ibuka katika Nyanja mbalimbali za kielimu huwasilishwa kupitia mtandao. Mtahiniwa anaweza kutafiti maelezo kuhusu nyanja mbalimbali za kazi ,vyuo vikuu vya aina tofauti vya kimataifa.Utafiti huu humwezesha kujua anakoenda au anakoelekea. Mtahiniwa anapojua kile anachotaka maishani mwake, yeye hujikakamua vilivyo.Mtandao ni kichochezi cha kufanikisha ndoto za wasomi  na walimu mtawalia.

Mbali na hayo,mtandao pia una athari hasi katika jamii na  hasa vijana  kwa ujumla. Moja wapo  ya maelekezo haya ni kuwa machapisho mengi huwa na chuku na porojo zinazopotosha ukweli na hivyo mtumiaji wa mtandao anashauriwa kujitahadhari kabla ya hatari kumpata anapotumia mtandao.Inampasa kufahamu kuwa sio kila maoni yaliomo katika mtandao kuhusu elimu yafaa kutumiwa haswa katika mitihani.

Maoni mengi yanayopatikana katika mtandao huwashawishi watahiniwa kuwa mtu anaweza kufanya mambo muhimu na kufanikiwa katika jamii bila kuwa na elimu. Jambo hili husababisha uzembe,na hata kupanda mbegu ya kasumba kuwa mtu au watu wengi mabwenyenye hawakupita katika paa za darasa lolote….kamwe sio ukweli. Ukweli wa mambo ni kuwa , elimu ndiyo ngao ya maisha. Kwa hivyo,elimu huchukua nafasi kubwa katika maisha ya mwanafunzi na wakenya wapaswa kulifahamu hili kwa ujumla.

Maswala ya elimu katika mtandao hayazingatii maelekezo ya mtaala wa elimu. Hivvo basi humwongoza mwanafunzi katika njia isiyo sawa. Pia mtandao hupunguza uwezo  wa mtu kufikiria na kubuni njia za kutatua matatizo katika jamii.Hili hutokana na hali ya kutegemea mtandao kutatua shida zozote zile hivyo kupunguza njia za kufikiria kiubunifu.

Wazazi wengi wamewapa watoto wao uhuru mwingi bila ya kuchunguza mienendo yao.Jambo hili huwafanya vijana kujiingiza katika makundi tofauti yanayopotosha kimaadili . Makundi haya  hujenga mazingira ya kujiunga na tabia zisizofaa kama uvutaji wa sigara na matumizi ya mihadarati pamoja na kujiingiza katika makundi haramu.

Picha na video za ngono huchafua fikra za vijana. Husababisha uzembe kwani muda mwingi hutumika kuzitazama video hizi.Video hizi hazifichiki wala kudhibitiwa. Mara nyingi mtandao hauzingatii umri wa wapokezi. Pia jambo hili hutokana na uraibu wa kutumia mtandao kwa muda mrefu.

Mwisho, mtandao husababisha kupotoshwa kwa vijana. Hali hii husababishwa na shinikizo baina ya maharimu. Makundi mengine katika mtandao hayaleti faida kwa vijana. Kwani makundi haya hujenga mazingira safi ya kupotosha umma. Makundi haya huweza kumbadilisha mwanafunzi bora kuwa  hafifu na kufuata  falsafa zenye itikadi kali na baadaye kuleta maangamizi makuu.

Mambo haya ndiyo yanayoathiri vijana wa leo. Licha ya haya yote yaliojaa chachu za uharibifu na maangamizi ya kizazi cha karne hii,mtandao huwa na umuhimu wake unaoweza kuijenga jamii upya na kuifanya dunia mahali pema pa maakazi za tulivu. Hivio basi wazazi wana jukumu kubwa la kuchunguza  na kudhibiti kwa kina jinsi watoto wao  wanavyoutumia mtandao hata ikiwa katika kutafiti hoja zinazohusiana na  elimu.Ombi langu kwa jumuia nzima ya watumizi wa mtandao ni  kuwa  kila mnyama hufunzwa kwa mizungu yake,lakini kwa hili tujukumike sote.Tusiwe kama yule mpumbavu alieenda porini na baada ya kumuokota tembo akasahau njia yake. Kwa yote ni wazazi ambao wanajukumu kubwa la kutimiza enzi hii yawazawa wa mtandao.

Imeandikwa na  

ASHLY JECHUMBA F3

Tags: kiswahili,

35 Comments


 • StephenBold

  I have checked your page and i have found some duplicate content, that's why you don't rank high in google, but there is a tool that can help you to create 100% unique content, search for; SSundee advices unlimited content for your blog

  2018-05-10 05:44:26

 • BestMagnolia

  I have noticed you don't monetize your site, don't waste your traffic, you can earn extra cash every month because you've got hi quality content. If you want to know how to make extra $$$, search for: Ercannou's essential adsense alternative

  2018-05-14 00:53:15

 • minecraft

  Woah! I'm really loving the template/theme of this blog. It's simple, yet effective. A lot of times it's very difficult to get that "perfect balance" between user friendliness and visual appearance. I must say you have done a awesome job with this. Also, the blog loads very quick for me on Internet explorer. Outstanding Blog!

  2018-09-07 07:25:08

 • minecraft

  Hi there, yeah this article is in fact fastidious and I have learned lot of things from it on the topic of blogging. thanks.

  2018-09-08 14:12:55

 • Free auto approve list 9-25-2018

  I added a new blog post yesterday. There’s a smaller list than usual in it. I’m currently working on a bigger list. It’s going to take some time to compile it. I hope all of you are having a good week. I’m planning on doing some design changes to my site. I’m also thinking about adding some new things too. I’ll talk more about that in the days and weeks to come.

  2018-09-27 21:22:34

 • Free auto approve list 9-28-2018

  I’m working on a new list. I’m hopeful that this one will be much bigger. I made some announcements about my future site plans. I’m going to be adding some new stuff soon. You’ll definitely want to stay tuned for that. Thanks for your time and have a good weekend!

  2018-09-29 04:26:21

 • Free auto approve list 9-28-2018

  I’m working on a new list. I’m hopeful that this one will be much bigger. I made some announcements about my future site plans. I’m going to be adding some new stuff soon. You’ll definitely want to stay tuned for that. Thanks for your time and have a good weekend!

  2018-10-01 05:21:28

 • Free auto approve list 10-2-2018

  I just updated my site with a new list. I’ve also come to a new conclusion about how many of these links exist out there. I’m not too sure if my conclusion is right or not. Read all about it in my latest blog post. See you there!

  2018-10-03 01:19:18

 • Find a fuck buddy

  I really like what you guys are up too. This type of clever work and coverage! Keep up the wonderful works guys I've included you guys to my blogroll.

  2018-10-04 22:21:47

 • Milf Selfies

  Excellent pieces. Keep writing such kind of information on your page. Im really impressed by your blog. Hey there, You've performed a great job. I'll definitely digg it and individually suggest to my friends. I am sure they will be benefited from this website.

  2018-10-05 13:21:17

 • Free Online Dating

  An impressive share! I've just forwarded this onto a coworker who was doing a little homework on this. And he actually bought me breakfast simply because I stumbled upon it for him... lol. So allow me to reword this.... Thank YOU for the meal!! But yeah, thanks for spending some time to talk about this issue here on your blog.

  2018-10-08 04:47:30

 • Cryptocurrency Institute

  It is truly a nice and helpful piece of information. I'm happy that you just shared this helpful info with us. Please stay us informed like this. Thanks for sharing.

  2018-10-08 09:46:25

 • NarcosXXX

  You should take part in a contest for one of the highest quality sites online. I most certainly will recommend this blog!

  2018-10-10 12:57:06

 • Meet Local Couples

  Good day! Would you mind if I share your blog with my zynga group? There's a lot of people that I think would really appreciate your content. Please let me know. Many thanks

  2018-10-12 03:12:49

 • Snack Subscription

  Wonderful items from you, man. I've take note your stuff prior to and you're just extremely great. I actually like what you have acquired right here, certainly like what you are saying and the way through which you are saying it. You make it enjoyable and you continue to take care of to stay it wise. I cant wait to read much more from you. That is actually a terrific website.

  2018-10-13 08:42:53

 • Free live cams

  Are you looking to see and talk to some really sexy girls? These girls are super dirty and it doesn’t cost a single cent to talk to them. It’s wall to wall babes at this site. Just visit https://t.irtyc.com/cvezzegjk?aff_id=29696&offer_id=3664&bo=2779,2778,2777,2776,3391 and sign up for your free account. You’ll be talking to these total babes in a matter of no time flat!

  2018-10-15 05:46:10

 • Free live cams

  Are you looking to see and talk to some really sexy girls? These girls are super dirty and it doesn’t cost a single cent to talk to them. It’s wall to wall babes at this site. Just visit https://t.irtyc.com/cvezzegjk?aff_id=29696&offer_id=3664&bo=2779,2778,2777,2776,3391 and sign up for your free account. You’ll be talking to these total babes in a matter of no time flat!

  2018-10-16 17:11:55

 • Free auto approve list 10-17-2018

  There’s been a lot of changes since I last left a comment about my site. I’m starting to add the new features that I’ve wanted to. I hope in the next few weeks that all of it will be up and running. It’s going to take time and I haven’t had much of it to dedicate to this project. I thank you all for visiting my site and I hope you have a great weekend!

  2018-10-21 08:11:12

 • Free auto approve list 10-17-2018

  There’s been a lot of changes since I last left a comment about my site. I’m starting to add the new features that I’ve wanted to. I hope in the next few weeks that all of it will be up and running. It’s going to take time and I haven’t had much of it to dedicate to this project. I thank you all for visiting my site and I hope you have a great weekend!

  2018-10-22 15:27:16

 • Free auto approve list 10-17-2018

  There’s been a lot of changes since I last left a comment about my site. I’m starting to add the new features that I’ve wanted to. I hope in the next few weeks that all of it will be up and running. It’s going to take time and I haven’t had much of it to dedicate to this project. I thank you all for visiting my site and I hope you have a great weekend!

  2018-10-23 21:51:31

 • Free auto approve list 10-17-2018

  There’s been a lot of changes since I last left a comment about my site. I’m starting to add the new features that I’ve wanted to. I hope in the next few weeks that all of it will be up and running. It’s going to take time and I haven’t had much of it to dedicate to this project. I thank you all for visiting my site and I hope you have a great weekend!

  2018-10-25 06:16:47

 • lena___

  How does relaxing and having a good time with a pretty blonde sound? If it sounds like an exciting way to spend your time, then you need to check out http://www.camgirl.pw/lena___/ She is a real doll and this cam girl knows what you want to see. You’ll never ever be bored when the two of you are all alone. Want to have the best time possible? Take this girl directly into private and she’ll put a smile on your face.

  2018-10-26 12:37:55

 • Adult Video Games

  This is my first time pay a quick visit at here and i am in fact pleassant to read all at one place.

  2018-10-27 19:37:30

 • Trade Bitcoin

  It's perfect time to make some plans for the future and it is time to be happy. I have learn this put up and if I could I want to counsel you some attention-grabbing issues or advice. Perhaps you can write subsequent articles referring to this article. I desire to learn even more issues approximately it!

  2018-11-07 21:18:36

 • wildtequilla

  Every guy needs to know a cam girl like http://www.camgirl.pw/wildtequilla/ She is a doll. You’ll have a whole lot of fun with any girl at this site. The type of fun that will put a smile on your face for days to come.

  2018-11-08 11:17:54

 • Video game testers needed

  Did you know that it’s possible to make money testing video games? You’re going to flip your lid when you see this http://j.gs/Brq4 Click that link and start making money testing video games!

  2018-11-09 12:54:28

 • Trade Bitcoin

  I’m not that much of a online reader to be honest but your sites really nice, keep it up! I'll go ahead and bookmark your site to come back later. All the best

  2018-11-09 21:38:22

 • Ariana Grande Thank U

  Have you heard Ariana Grande perform Thank U live? If not, then you’ve definitely got to hear it. Give it a listen by clicking here http://kudoflow.com/4Emv This might just be her best song ever!

  2018-11-10 05:08:55

 • suba suba

  IntpJ0 This is very interesting, You are a very skilled blogger. I ave joined your feed and look forward to seeking more of your excellent post. Also, I ave shared your site in my social networks!

  2018-12-21 02:02:32

 • 바카라사이트

  You appear to know so much about this, and I see you’re a published author. Thanks

  2019-02-04 06:50:01

 • 슬롯머신사이트

  Here is a great Weblog You may Discover Intriguing that we Encourage You

  2019-02-04 06:57:47

 • 더킹카지노

  We stumbled over here from a different web page and thought I should check things out.

  2019-02-04 07:05:13

 • 카지노사이트추천

  I don’t leave many comments on lots of blogs but i sensed i needed to here. High quality articles you’ve got here.

  2019-02-04 07:12:50

 • 오카다카지노

  What’s up, after reading this awesome piece of writing i am too glad to share my knowledge here with colleagues.

  2019-02-04 07:17:22

 • 바카라사이트

  Hello, i think that i saw you visited my blog thus i got here to ?return the desire?.I am attempting to find issues to improve my website!I suppose its adequate to make use of a few of your ideas!!

  2019-02-04 07:21:17

Leave a Comment